Search

128 results for Joyce Joliga :

  1. Dk Nchimbi apokea kero Nyasa

    Wakazi wa Nyasa wamemuomba Dk Nchimbi kuwasaidia ujenzi wa barabara kutoka Lituhi hadi Mbambay Bay na kituo cha afya wakisema Kata ya Mbaha kuna zanahati mbili pekee

  2. Dk Nchimbi aibeba falsafa ya maridhiano ya Rais Samia

    Asisitiza umuhimu wa kuepuka uchochezi na kusisitiza umoja wa kitaifa.

  3. Makinda: Wanawake wahamasishe vijana kushiriki uchaguzi

    Asema sensa ilifanikiwa kutokana na jitihada za wanawake, hivyo wajitahidi kuwa waaminifu na wafanye kazi hii kwa bidii.

  4. Soko la madini lahitajika haraka Tunduru

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameagiza kukamilishwa ujenzi wa soko la kisasa la madini ya vito litakalokuwa kubwa zaidi Afrika Mashariki.

  5. Wananchi Songea walia makali bei ya sukari

    Baadhi ya wananchi katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamelalamikia kuadimika kwa sukari wakisema bei ya bidhaa hiyo imepanda kutoka Sh3,800 hadi Sh7,000 kwa kilo.

  6. Bosi Tanroads aliyefariki ghafla akifanya mazoezi aagwa Songea, kuzikwa Jumanne Shinyanga

    “Ngaile angejua kuwa kwenye mazoezi yake ndio ingekuwa mwisho wake angewaaga marafiki zake kuwa hatorudi. Hivyo tutambue maisha ni kama maua asubuhi yanachanua jioni yananyauka,” amesema.

  7. Bosi Tanroads Ruvuma afariki akishiriki mbio za hisani

    Amesema meneja huyo alikimbia mbio za kilomita tano na katika kundi lake alikuwepo yeye (DC), Katibu Tawala Mkoa na Mganga Mkuu wa mkoa huo.

  8. RC Ruvuma ataja mkakati kumaliza udumavu kwa watoto

    Pia, amewataka wananchi kuwekeza nguvu zao kwenye upandaji miti kama walivyowekeza kwenye mazao mengine.

  9. Unatumia ‘swimming pool’ jihadhari na haya

    Kutokana na tukio hilo, Mwananchi Digital ilifanya ufuatiliaji na kubaini maji katika baadhi ya mabwawa hayo utunzaji wake si salama.

  10. Kapinga ataka vijana kubeba ajenda nishati mbadala

    Vijana mkoani Ruvuma wametakiwa kubeba ajenda ya matumizi ya nishati mbadala, kwa ajili ya Taifa ili kupunguza changamoto za uharibifu wa mazingira unaofanywa na jamii.

Page 1 of 13

Next